22/07/2013 ÿú Ni dhahiri kwamba idadi ya ajali za barabarani zinazidi kuzua hofu humu nchini. Hata hivyo katika siku za hivi karibuni, idadi kuu ya ajali hizo imesababishw.
12/08/2021 ÿú Ajali za barabarani Afrika Mashariki zimekuwa moja ya majanga yanayogusa nchi hizo kwa kiwango kikubwa. Mwaka hadi mwaka idadi inaongezeka ya raia wanaopoteza maisha na wengine kupata ulemavu wa kudumu kutokana na ajali za njia za usafiri. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani ? WHO- ajali za barabarani na njia nyingine za usafiri katika.
24/05/2020 ÿú *TAKWIMU ZA AJALI ZA BARABARANI KULINGANA NA CHANZO KWA MWAKA 2019* Uzembe wa dereva matukio 1160 Ubovu wa magari ajali 105 Spidi za magari ajali 288.
Kinyume chake ni kwamba idadi ya vifo vya ajali za barabarani hapa nchini zinazosababishwa na magari binafsi imezidi kuongezeka kwa kasi katika kipindi cha miezi sita ya mwanzo wa mwaka 2019 na sasa inazidi hata vifo vya ajali zitokanazo na pikipiki maarufu kama bodaboda, ambazo ndizo zilikua zikiongoza kwa kusababisha vifo.
Sheria iboreshwe kudhibiti ajali za barabarani nchini. HIVI sasa Taifa linaomboleza vifo vya watu zaidi ya 100 waliopoteza maisha kutokana na ajali ya gari la mafuta kupinduka na kuwaka moto mkoani Mogororo. Ajali hiyo ni mwendelezo wa ajali nyingi za barabarani na maeneo mengine ya usafiri zinazotokea na kugharimu maisha ya watu, uharibifu wa.
19/07/2020 ÿú Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani WHO, Ajali za barabarani humuua mtu mmoja kila baada ya sekunde 24 ,huku vifo milioni 1.35 vinavuosababishwa na ajali za barabarani vikiripotiwa kila mwaka kote duniani. Mkuu wa shirika hilo Tedros Adhanom alisema ajali zinaweza kuzuilika iwapo mikakati muafaka itawekwa ,kwani vifo hivyo ni malipo yasiyo.
11/08/2020 ÿú vyanzo vikuu vya ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki ni pamoja na kutokujua Sheria, Kanuni na taratibu za matumizi ya barabara ambapo madereva wengi wa pikipiki hawana leseni za udereva, uendeshaji wa hatari wa pikipiki barabarani kwa kwenda mwendo wa kasi na kupita magari mengine bila sababu, kupita katika taa za kuongozea magari (traffic lights) bila kuruhusiwa, kudharau.
11/07/2019 ÿú Huku ?sababu za kibinadamu? ikiwa ndiyo chanzo kikuu cha ajali nchini kwa asilimia 86.4%. Kwa lugha nyingine tungeweza kusema namna tunavyovuka na kutembea barabarani ,tunavyo endesha vyombo vya usafiri kumechangia ajali kwa asilimia 86.4%. Waandishi wahabari wanapaswa kuandika habari za usalama barabarani zinazo-, 17/07/2021 ÿú 10,889. 2,000. Jul 9, 2017. #1. Zijue alama mbalimbali za barabarani na maana yake,zinaweza kuwa msaada kwako kwa namna moja ama nyingine.;"