05/02/2019 ÿú Takwimu za Jeshi la Polisi na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusiana na vifo vinavyosababishwa na matukio ya ajali za barabarani Tanzania zimezua hofu ya mwenendo halisi wa usalama barabarani nchini. Desemba mwaka jana, shirika hilo limetoa ripoti yake ijulikanayo [?], 11/07/2019 ÿú Kwa hapa Tanzania , ripoti ya ?Takwimu za hali ya uhalifu na matukio ya usalama barabarani Januari-Decemba 2017? inayotolewa na Jeshi la Polisi na Ofisi ya Taifa ya takwimu, ina onyesha watu 2,705 walipoteza maisha na watu 6,169 walijeruhi kutokana na ajali .
26/08/2020 ÿú Takwimu za matukio ya usalama barabarani kwa mwaka 2015/16 hadi 2019 /20 (Julai 2019 hadi Machi 2020) zilizotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani mwaka huu zinaonyesha kuwa vifo na majeruhi wa ajali hizo wamekuwa vikipungua kwa viwango tofauti kila mwaka tangu mwaka 2015/16, 02/07/2018 ÿú Takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine 48 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha zaidi ya magari matatu mkoani Mbeya, kanda ya nyanda za juu kusini mwa Tanzania .;"