08/08/2021 ÿú About Press Copyright Contact us Creators Advertise Developers Terms Privacy Policy & Safety How YouTube works Test new features Press Copyright Contact us Creators.
20/07/2011 ÿú VIOJA MAHAKAMANI AJALI YA PIKIPIKIuploaded by Elijah Nyandoro, Na Steven William, MUHEZA WATU watatu wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa Muheza mkoani Tanga, katika ajali ya pikipiki . Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Tanga, Leopold Fungu, alisema jana kuwa ajali hiyo ilitokea katika eneo la Msangazi barabara ya kutoka Muheza Mjini kwenda Tarafa ya Amani baada ya pikipiki za abiria, maarufu kama bodaboda.
14/03/2013 ÿú Kijana aliyetambulika kwa jina la Mahadi Mbara, akiwa nje ya kituo cha kati cha polisi mjini Singida akisubiri fomu namba 3 ya polisi(P.F 3) kwa ajili ya kutibiwa. Mbara anadaiwa kupata ajali ya pikipiki na kuumia vibaya kutokana na kutotumia kofia ngumu (helmet).
Ajali nyingi zinatokana na watu kuendesha pikipiki bila maarifa sahihi ya kutumia chombo hicho pamoja na kanuni muhimu za usalama barabarani. Hivi leo kijana hujifunza pikipiki kichochoroni kwa siku mbili na kuingia kwenye barabara kuu za mji, hili limefanya wengi kugongwa au ?;"