04/07/2021 ÿú Takriban watu 100, wengi wao wakiwa ni wahitimu wa jeshi, walikuwa katika ndege aina ya C-130 Hercules iliyokuwa inajaribu kutua katika kisiwa cha Jolo, kwenye jimbo la Sulu wakati wa mchana. Baadhi ya wanajeshi walioonekana wakiruka kutoka katika ndege kabla ya kufika ardhini na kuwaka moto, amesema Meja Jenerali Williams Gonzales, kamanda wa kikosi kazi.
05/07/2021 ÿú Idadi ya waliopoteza maisha katika ajali ya ndege Ufilipino yaongezeka Muungwana Blog 2 Jul 5, 2021 Imeripotiwa kuwa idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na ajali ya ndege ya jeshi iliyoanguka wakati wa kutua katika mkoa wa Sulu kusini mwa Ufilipino imeongezeka hadi 50.
05/07/2021 ÿú Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino aina ya C-130 imeongezeka na kufikia 50 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo (05.07.2021) na maafisa.
05/07/2021 ÿú 50 wapoteza maisha katika ajali ya ndege ya kijeshi Ufilipino Jul 05, 2021 02:48 UTC Kwa akali watu 50 wamepoteza maisha huku wengine wasiopungua 49 wakijeruhiwa, baada ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino kuanguka na kuteketea moto kusini mwa nchi.
05/07/2021 ÿú Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino aina ya C-130 imeongezeka na kufikia 50 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo (05.07.2021) na maafisa. Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino aina ya C-130 imeongezeka na kufikia 50 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na maafisa. Uchunguzi kuhusu.
Uchunguzi kuhusu chanzo cha ajali hiyo umeanza. Ndege ya jeshi la filipino iliyokuwa imebeba jumla ya wanajeshi 96 ilianguka jumapili katika mji wa Patikul ulioko kwenye kisiwa cha Jolo kiasi kilomita 1000 kutoka mji mkuu Manila.. Wizara ya ulinzi Jumapili ilisema wanajeshi 47 walifariki na raia wanne waliojeruhiwa wako hospitali.;"