23/05/2010 ÿú Ajali ya ndege yaua 160 India Watu zaidi ya 150 wamefariki katika ajali iliyohusisha ndege ya Air India Express. Ndege ya abiria, Air India Express, imeanguka na kuwaka moto karibu na uwanja mmoja kusini mwa India siku ya Jumamosi, na kuua watu 158, wengi wanaaminika kuwa raia wa India waliokuwa wakirejea nyumbani kutoka Dubai ambako walikuwa.
08/05/2020 ÿú Ndege ya jeshi imepata ajali nchini India . Kulingana na taarifa iliyotolewa,rubani wa ndege hiyo alishindwa kuidhibiti ndege ikiwa angani kutokana na sababu za kiufundi. Matokeo yake,rubani wa ndege hiyo aliamua kuruka kutoka kwenye ndege ili kuokoa maisha yake. Ajali hiyo imetokea katika eneo la Nawanshahar ambapo hamna majeruhi walioripotiwa.
28/05/2020 ÿú Yahya Polani alipoteza famila yake ya watu watano katika ajali ya ndege iliyotokea Karachi. Mpwa wake, Zain Polani alikuwa anapeleka familia yake yote mjini.
08/08/2020 ÿú Ajali mbaya sana: ndege ilianguka ardhini huko Kerala masaa kadhaa yaliyopita. Ndege hiyo ilikuwa ikikamilisha kurudisha tena kwa COVID-19.
05/08/2012 ÿú http://www.ktnkenya.tvNdege moja aina ya helikopta ilianguka ghafla baada ya kusemekana kupata matatizo ya kimitambo na kusababisha kujeruhiwa kwa rubani waw.
11/01/2021 ÿú Ajali ya Ndege Indonesia, Abiria 62 Wafariki Dunia! Majonzi Makubwa! Ndege hii aina ya SJ 182 ilikuwa na wafanyakazi 12 na abiria 50, wakiwamo na watoto 10. Indonesia kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wameanza kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha ajali hii ambayo imesababisha maafa makubwa kwa watu na mali zao.
08/06/2018 ÿú Halamashauri ya usafiri wa ndege nchini imeanzisha uchunguzi dhidi ya mkasa wa ndege uliosababisha vifo vya marubani wawili na wasafiri wanane. Uchunguzi huo.
24/06/2021 ÿú Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaGTufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWHLike Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5Channel Administe.
10/03/2019 ÿú Mkurugenzi mtendaji wa Ethiopian Airlines CEO Tewolde Gebremariam amewaambia wa waandishi wa habari kuwa waliokufa kwneye ajali ya ndege walikua raia wa mataifa 33;"